MAFUNZO YA UWAALIMU WA VICOBA-ARUSHA

May 16, 2017 Unknown 0 Comments


Katika kuendeleza harakati za kufundisha Walimu ambao watakuwa tayari kwaajili ya kutoa elimu ya mfumo Wa Vicoba Endelevu Tanzania,Taasisi ya Youth Empowerment and Mindset Change Organization-YEMCO inatangaza kuanza usajili Wa mafunzo ya Walimu Wa Vicoba kwa mkoa wa Arusha

Bado tuna uhitaji mkubwa sana wa wakufunzi wa mfumo wa vicoba ambao ni mfumo wa kujiwekea akiba na kuinua maisha ya Watanzania.

Kwa kulitambua hilo taasisi ya yemco tumedhamiria kuandaa wakufunzi 150 kwa mwaka 2017.

Ili kuhakikisha FURSA hii inawafikia Watanzania wote kuanzia tarehe 25/05/2017 mpaka 27/05/2017 tutakuwa na mafunzo ya Uwaalimu wa vicoba mkoani Arusha

ENEO; MEC HOUSE GHOROFA YA NNE JENGO LA FINCA
MUDA; SAA 2 KAMILI ASUBUHI MPKA SAA 10 JIONI.

JINSI YA KUSHIRIKI;

Jaza fomu kupitia link ifuatayo

https://goo.gl/forms/E6MDPh6Ku4H8csdi2

Ama wasiliana nasi kupitia

phone;  0715448643

            0674929933

            0743212199

Email; yemcotz@gmail.com

Facebook ;YemcoTanzania

Tweeter;YEMCOTanzania

Instagram; YemcoTanzania


    ''EVERYONE DESIGNED TO BE A SUPER STAR''

0 comments: