MAFUNZO YA UWAALIMU WA VICOBA-ARUSHA


Katika kuendeleza harakati za kufundisha Walimu ambao watakuwa tayari kwaajili ya kutoa elimu ya mfumo Wa Vicoba Endelevu Tanzania,Taasisi ya Youth Empowerment and Mindset Change Organization-YEMCO inatangaza kuanza usajili Wa mafunzo ya Walimu Wa Vicoba kwa mkoa wa Arusha

Bado tuna uhitaji mkubwa sana wa wakufunzi wa mfumo wa vicoba ambao ni mfumo wa kujiwekea akiba na kuinua maisha ya Watanzania.

Kwa kulitambua hilo taasisi ya yemco tumedhamiria kuandaa wakufunzi 150 kwa mwaka 2017.

Ili kuhakikisha FURSA hii inawafikia Watanzania wote kuanzia tarehe 25/05/2017 mpaka 27/05/2017 tutakuwa na mafunzo ya Uwaalimu wa vicoba mkoani Arusha

ENEO; MEC HOUSE GHOROFA YA NNE JENGO LA FINCA
MUDA; SAA 2 KAMILI ASUBUHI MPKA SAA 10 JIONI.

JINSI YA KUSHIRIKI;

Jaza fomu kupitia link ifuatayo

https://goo.gl/forms/E6MDPh6Ku4H8csdi2

Ama wasiliana nasi kupitia

phone;  0715448643

            0674929933

            0743212199

Email; yemcotz@gmail.com

Facebook ;YemcoTanzania

Tweeter;YEMCOTanzania

Instagram; YemcoTanzania


    ''EVERYONE DESIGNED TO BE A SUPER STAR''

YEMCO AMBASSADOR



Taasisi inayojihusisha na kuwainua vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kiuchumi na kubadilisha mtazamo, inatoa taarifa kwa ajili ya zoezi la kutafuta mabalozi wa taasisi hiyo kuwa fomu zote za walioomba nafasi ya kuwa mabalozi zimeshapitiwa na utaratibu wa kuwatangaza waliofanikiwa kupata nafasi hiyo utafanyika hivi punde.

Hivyo taasisi yetu inawasihi vijana wote walio vyuo vikuu ama nje ya taasisi za elimu kuwa na subra na kuendelea kutufuatilia kwa ukaribu kupitia mitandao yetu ya kijamii kuweza kupata taarifa sahihi pindi zinapotoka.

NAFASI YA BALOZI WA KUJITOLEA






Katika muendelezo wa kuwawezesha vijana kiuchumi Taasisi YEMCO-(Youth Empowerment and Mindset Change Organization). Inawatangazia vijana ambao ni wanafunzi wa vyuo vikuu, walio nje ya taasisi za elimu na wale ambao ni wahitimu  nafasi ya kujitolea kama balozi kwenye taasisi yetu.

SIFA;

(i) Uwe kijana mwenye umri chini ya miaka 35

Namna ya Kujiunga;

Jaza form kupitia link ifuatayo

https://goo.gl/forms/gANAIvrjqlTu2A9t2

au unaweza kututumia Barua Pepe kupitia

yemcotz@gmail.com

Facebook; @YEMCO Tanzania

Tweeter; @YEMCOTZ

Instagram @YemcoTanzania

au kwa mawasiliano zaidi

+255655535689

+255654170110

+255756628773

Ama Fika Ofisini kwetu Sinza White Inn.

KIJANA JITAMBUE NA UJIAJIRI PROJECT

Kijana jitambue ujiajiri is among of our project which we did with youth from diferent part of the Tanzania


OUR VISION AND MISSION








VISION



To be the leading organization of excellence in ensuring social and economic transformation for youth, women and people with disabilities



MISSION



To empower youth and disabled to meet their social and economical needs and wants  in order to achieve their goals and enhance their living standard through seminars, motivation talks and trainings