KARIBU YEMCO
KARIBU YEMCO
..
ORGANIZATION CHART DUTIES AND RESPONSIBILITIES OF ORGANIZATION 1.To facilitate the training of self-awareness, entrepreneurship and finance to youth, women and the disabled people. 2. To promote, Develop and teach VICOBA SUSTAINABLE for young people, women and the disabled people. 3. To encourage young people, women and the disabled to enter into investment activity. 4. To make sure the..
Katika kuendeleza harakati za kufundisha Walimu ambao watakuwa tayari kwa ajili ya kutoa elimu ya mfumo Wa Vicoba Endelevu Tanzania,Taasisi ya Youth Empowerment and Mindset Change Organization(YEMCO) imeanza rasmi mafunzo hayo leo tarehe 8/05/2017 na yanatarajiwa kufikia kikomo tarehe 11/05/2017.. Akizungumza na waalimu hao wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Mohamed Bassanga Mkurugenzi wa taasisi ya YEMCO..
YEMCO TANZANIA ORGANIZATION PROFILE YOUTH EMPOWERMENT AND MINDSET CHANGE ORGANIZATION (YEMCO) YEMCO is a Non-Government Organisation founded on 8th July 2015 with registration number 00NGO/08670, of Non-Government Organisation Act No. 24 of 2002. The organization focuses on the empowerment and mindset change to youth, women and disabled in order to enable themselves in various development programmes and opportunities...
Mabalozi wa kujitolea wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa YEMCO Tarehe 17/5/2017 imeingia katika vitabu vya kumbukumbu vya taasisi inayojihusisha na kuwawezesha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu YEMCO baada ya kuanza rasmi kutoa mafunzo kwa vijana 10 ambao wamechaguliwa kuwa mabalozi wa kujitolea kwa taasisi hiyo. Akifungua mafunzo hayo Mkurugenzi wa taasisi ya YEMCO Mh...